Wednesday, January 8, 2014

RIVIERA INVESTMENT KUANZISHA KITENGO CHA IT


 Ni baada ya mda mrefu kukosekana kwa  huduma ya IT katika mji wa sumbawanga na mkoa wa Rukwa kwa ujumla.hivyo kampuni imefungua kitengo hiki ili kuwezesha kupatikana kwa huduma mbalimbali za Technolojia katika mji huu zikiwemo shuguli zifuatazo: kutengeneza website, Database, Networking, video production, kufunga security camera, kutengneza computer na  nyingine nyingi.

No comments:

Post a Comment