Friday, June 7, 2013

CHANGAMOTO KAZINI

Mda mwingine kazi hua ngumu hivyo hupelekea mafundi kupumzika hata kama ni juu bati.

3 comments:

  1. wananchi wa mji wa Sumbawanga na vitongoji vyake wote, msipitwe na ofa kubwa ya king'amuzi cha zuku,,,, haijawahi tokea, ni sawa nabuleeee
    Njooo tuzungumze ujipatie king'amuzi chako

    ReplyDelete
  2. Je una wasiwasi wowote na hujui ni king'amuzi gani ununue kwa matumizi yako ya nyumbani?
    Je unahangaika na hujui ni wapi unaweza kupata mafundi wazuri, waaminifu, na wataalamu wa kuseti ungo wako wowote ule?
    Je hauna uelewa wa kutosha juu ya aina gani ya television( tv) ya kununua kwa matumizi ya familia na nyumbanii kwako?
    Njoo tuzugumze, ushauri wetu ni wa kitaalamu na hatukulazimishi kununua kwetu, tunaamini mteja mzuri ni yule mwenye kufahamu anataka nini kabla hajapata anachokitaka, hii ni kazi yetu

    ReplyDelete
  3. Hakuna shaka kabisa kwamba sasa mfumo wa digital ndiyo njia ppeke ya kukufanya upate matangazo ya television yenye ubora wa kiwango cha juu, lakini pia hakuna shaka kwamba sasa ni wazi picha zenye ubora zinapatikana kwenye ving'amuzi ( decorder) vya kulipia na ving'amuzi ambavyo havina ubabaishaji ni pamoja na DSTV, ZUKU TV, AZAM TV , ving'amuzi hivi vyote vinapatikana ndani ya sumbawanga, karibu katika ofisi zetu tukuhudumie ili kuyapa maisha ya familia thamani, kumbuka bila king'amuzi mchele unahamia ndani ya luninga yako badala ya jikoni.
    RIVIERA ELECTRONICS NI JIBU LA TELEVISION

    ReplyDelete