Friday, June 7, 2013

MISS RUKWA 2013


RIVIERA INVESTMENT tumekua wadhamini wa MISS RUKWA kwa mda wa miaka mitano (5).
washiriki wa MISS RUKWA 2013 katika ofisi zetu zilizopo mjini sumbawanga Mbeya Road opp NBC bank. Washindi watatu kati ya hawa watajinyakulia SET KAMILI YA ZUKU TV KWA KILA MMOJA

No comments:

Post a Comment