Friday, January 10, 2014
TIKETI ZA NDEGE KUPATIKANA OFISI ZA RIVIERA
Ni kampuni inayopatikana ndani ya sumbawanga, hivi karibuni itaanza kutoa huduma ya tiket za ndege kwenda mikoa mbalimbali kwa bei nafuu. tembelea ofisi zetu ziizopo Mbeya Road karbu na NBC BANK, pamoja na TWO WAYs kwa mawasiliano piga 0766773937, 0736201258,0786064514.0759586321.
Wednesday, January 8, 2014
RIVIERA INVESTMENT KUANZISHA KITENGO CHA IT
Ni baada ya mda mrefu kukosekana kwa huduma ya IT katika mji wa sumbawanga na mkoa wa Rukwa kwa ujumla.hivyo kampuni imefungua kitengo hiki ili kuwezesha kupatikana kwa huduma mbalimbali za Technolojia katika mji huu zikiwemo shuguli zifuatazo: kutengeneza website, Database, Networking, video production, kufunga security camera, kutengneza computer na nyingine nyingi.
Tuesday, January 7, 2014
VIDEO INAYOHUSU RIVIERA ELECTRONICS
SASA UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII SEHEM MBALIMBALI UWEZE KUJUA TUMEKULETEA NINI
Subscribe to:
Posts (Atom)