Tuesday, July 16, 2013

MFANYAKAZI WA RIVIERA INVESTMENT

Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya RIVIERA INVESTMENT akiwa ndani ya shera nzito akifunga pingu z maisha mungu akuzidishie maisha marefu na umpendae "muishi kwa amani."

MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA RIVIERA INVESTMENT AKIFUNGA PINGU ZA MAISHA