Tuesday, June 11, 2013

MTAALAM AKIWA KAZINI AKIPIMA MITAMBO

Moja ya kazi zinazofanywa na wataalam wetu, kupima mambo mbalimbali ya "technolog".

Friday, June 7, 2013

CHANGAMOTO KAZINI

Mda mwingine kazi hua ngumu hivyo hupelekea mafundi kupumzika hata kama ni juu bati.

TUNAFUNGA MADISHI YA KILA AINA

 Mr.Peter akiwa kati ya kazi mojawapo mjini mpanda.
 Moja ya madishi tuliyofunga mjini mpanda. 
Fundi mondo na fundi julius nkoswe wakiwa kazini.          0732117224

MISS RUKWA 2013


RIVIERA INVESTMENT tumekua wadhamini wa MISS RUKWA kwa mda wa miaka mitano (5).
washiriki wa MISS RUKWA 2013 katika ofisi zetu zilizopo mjini sumbawanga Mbeya Road opp NBC bank. Washindi watatu kati ya hawa watajinyakulia SET KAMILI YA ZUKU TV KWA KILA MMOJA

FUNDI DICK AKIWA KAZINI












RIVIERA INVESTMENT

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA DIGITAL.